top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 08:15:56

Kuua kirusi Corona kwa kujifukiza

Je, kujifukiza ni njia sahihi ya kuua kirusi cha Corona?

Hapana!

Kujifukiza hakuwezi kuua kirusi kinachosababisha ugonjwa wa COVID-19 ambao tayari wameshaingia mwilini.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:21

Rejea za mada hii

bottom of page