Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
9 Oktoba 2021 07:26:26
Kwanini chanjo ya COVID-19 isiwe lazima kwa kila mmoja?
Kwa maadili ya kitabibu, matibabu ni hiari. Kazi ya wataalamu wa Afya ni kutoa elimu ya faida za chanjo kama vile kupunguza maambukizi, ugonjwa mkali, gharama za matibabu na vifo. Lakini uamuzi wa mwisho wa kutumia chanjo hufanywa na mtu binafsi baada ya kuelewa faida za chanjo kwake yeye mwenyewe, kwa jamii, na kwa Taifa
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 09:16:36
Rejea za mada hii
https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019/question-and-answers-hub. Imechukuliwa 09.10/2021