top of page

Mwandishi:

Mhariri:

10 Oktoba 2021 12:16:01

Kwanini Chanjo ya J&J inatolewa dozi moja na zingine zinatolewa dozi mbili?

Kwanini Chanjo ya J&J inatolewa dozi moja na zingine zinatolewa dozi mbili?

Kila dawa/chanjo kabla ya matumizi inafanyiwa utafiti kuhusu uwezo wake wa kimatibabu na dozi itakayofaa. Chanjo a J&J imeonyesha uwezo wa kutoa kinga nzuri baada ya kutolewa kwa dozi moja iliyopendekezwa. Chanjo hii inachochea utenegenezwaji wa protini mwiba (Spike protein) ya virusi vinavyosababisha COVID-19 na hivyo kuufanya mwili kutengeneza kinga nyingi dhidi ya virusi hivi baada ya kutolewa dozi moja, na hivyo kuukinga mwili dhidi ya COVID-19.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 12:16:01

Rejea za mada hii

bottom of page