top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021, 11:57:05

Kwanini majibu ya COVID -19 yanachelewa?

Kwanini majibu ya COVID-19 yanachelewa?

Kuchelewa kwa majibu ya COVID-19 kunaweza kusababishwa na changamoto za mfumo, wingi wa sampuli, mtandao wa kutuma majibu au kulazimika kurudia sampuli baada ya kuonyesha majibu kushindwa kusomeka au wakati mwingine sampuli kutokufika maabara kuu mapema kutokana na changamoto za usafirishaji

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 12:27:49

Rejea za mada hii

bottom of page