top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021 12:47:53
Kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kuwa chanjo ya corona ni salama?
Chanjo ya COVID-19 imekuja baada ya mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 ambao umekua ni tatizo kubwa kwa hiyo chanjo inatolewa kwa kampeni maalum ili kuweza kufikia watu wengi zaidi kwa muda mfupi kuweza kudhibiti ugonjwa huu. Hakuna ugonjwa mwingine katika karne ya 21 ambao umesababisha madhara makubwa kiuchumi duniani kama vile COVID-19.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021 12:47:53
Rejea za mada hii
bottom of page