top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021, 11:39:28

Limao, embe, tangawizi, vitunguu na COVID-19

Je limao, embe, tangawizi na vitunguu hutumika kama virutubisho au tiba ya COVID-19?

Mpaka sasa hakuna tiba kamili ya ugonjwa wa COVID-19. Dawa za asili zilizopo hutumika kama virutubisho na kupunguza dalili za mafua na kikohozi.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 12:27:52

Rejea za mada hii

bottom of page