top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021, 08:28:44

Machozi yana virusi vya Corona?

Je, machozi ya mtu mwenye Corona hayawezi kuwa na vimelea vya Corona?

Hapana!

Mpaka sasa tafiti zinaonyesha kuwa machozi ya mgonjwa wa COVID-19 huwa hayana virusi vya corona.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 09:16:18

Rejea za mada hii

bottom of page