top of page

Mwandishi:

Dkk. Mangwella S, MD

Mhariri:

Dkt. Sospeter B, MD

20 Novemba 2021 20:32:52

Majira na magonjwa ya moyo

Je, kama una ugonjwa wa moyo unaweza kutumia majira?

Majira inapaswa kutotumika kwa wanawake wenye hatari ya kupata magonjwa ya moyo kama vile wale wenye magonjwa ya ateri koronari au kiharusi.


Vihatarishi


Vihatarishi vya kupata magonjwa ya moyo na kutotumia majira yenye vichocheo viwili ni;


  • Kuwa na umri mkubwa

  • Kuvuta sigara

  • Shinikizo la juu la damu

  • Kisukari


Njia gani salama kutumia?


Kama una hatari ya kupata magonjwa ya moyo na unataka kutumia njia za uzazi wa mpango, chagua njia isiyokuwa na kichocheo cha estrojeni na isiwe sindano za projestini.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

20 Novemba 2021 20:32:55

Rejea za mada hii

  1. Heart Disease & Birth Control. https://obgyn.coloradowomenshealth.com/health-info/birth-control/medical-conditions-birth-control/heart-disease. Imechukuliwa 20.11.2021.

  2. Jolien W, et al. Contraception and cardiovascular disease, European Heart Journal, Volume 36, Issue 27, 14 July 2015, Pages 1728–1734, https://doi.org/10.1093/eurheartj/ehv141. Imechukuliwa 20.11.2021.

  3. Shufelt, et al. “Contraceptive hormone use and cardiovascular disease.” Journal of of Cardiology vol. 53,3 (2009): 221-31. doi:10.1016/j.jacc.2008.09.042.

bottom of page