top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Mangwella S, MD

21 Novemba 2021 15:01:05

Majira na mimba kutoka

Je, majira yenye vichocheo viwili husababisha kutoka kwa mimba?

Hapana!

Utafiti juu ya vidonge vya majira yenye vichocheo viwili umegundua kuwa vidonge hivi havivurugi ujauzito uliokuwepo. Hata hivyo tafiti moja inaonyesha kuwa, wanawake walioacha kutumia majira mwezi mmoja kabla ya kupata ujauzito wana hatari kidogo ya ujauzito wa sasa kutoka. (Kristen A. Hahn, et al.)

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

21 Novemba 2021 15:18:40

Rejea za mada hii

  1. Hahn, et al. “History of oral contraceptive use and risk of spontaneous abortion.” Annals of epidemiology vol. 25,12 (2015): 936-41.e1. doi:10.1016/j.annepidem.2015.09.001

  2. Ford JH, et al. Pregnancy and lifestyle study: the long-term use of the contraceptive pill and the risk of age-related miscarriage. Hum Reprod. 1995;10(6):1397–402. Epub 1995/06/01. [PubMed] [Google Scholar]

  3. Sackoff J, Ket al. Previous use of oral contraceptives and spontaneous abortion. Epidemiology. 1994;5(4):422–8. Epub 1994/07/01. [PubMed] [Google Scholar]

  4. Harlap S, et al. Spontaneous foetal losses in women using different contraceptives around the time of conception. International journal of epidemiology. 1980;9(1):49–56. Epub 1980/03/01. [PubMed] [Google Scholar]

  5. Rothman KJ. Fetal loss, twinning and birth weight after oral-contraceptive use. The New England journal of medicine. 1977;297(9):468–71. Epub 1977/09/01. [PubMed] [Google Scholar]

  6. Vessey M, et al. Outcome of pregnancy in women using different methods of contraception. British journal of obstetrics and gynaecology. 1979;86(7):548–56. Epub 1979/07/01. [PubMed] [Google Scholar]

  7. Risch HA, et al. Risk factors for spontaneous abortion and its recurrence. American journal of epidemiology. 1988;128(2):420–30. Epub 1988/08/01. [PubMed] [Google Scholar]


bottom of page