top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021 13:16:40
Makundi gani yanapewa kipaumbele kwenye chanjo ya COVID-19?
Makundi yaliyopewa kipaumbela ni pamoja na
Wataalam wa Sekta ya Afya,
Watu wenye umri wa miaka 50 na kuendelea na
Wale wenye magonjwa sugu.
Hata hivyo kuanzia Agosti 12, 2021 Serikali iliruhusu chanjo za COVID-19 zitolewe kwa mtu yeyote mwenye miaka 18 na kuendelea atakayekuwa anahitaji chanjo kwa hiari yake.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021 13:16:40
Rejea za mada hii
bottom of page