Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
9 Oktoba 2021 08:10:19
Kwanini watu wengi duniani wana mashaka na chanjo ya Corona?
SIO KWELI
Chanjo kama zilivyo dawa nyingine, hufanyiwa uchunguzi wa kina ili kuhakikisha ubora na usalama kwa mtumiaji. Chanjo ya COVID-19 imefanyiwa utafiti na kuthibitishwa kuwa ni salama na bora. Watu walio wengi duniani wanaziamini na wamechanja ili kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Hadi tarehe 11 Agosti 2021, idadi ya dozi 4.4 billion zilikuwa zimeshatolewa kwa wat
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 09:16:24
Rejea za mada hii
https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019/question-and-answers-hub. Imechukuliwa 09.10/2021