top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 09:37:27
Je, kwanini serikali isiweke kwenye bima za afya package ya kupima Corona?
Serikali ya Tanzania inaagalia uwezekano wa kuingiza upimaji na matibabu ya COVID-19 kwenye Bima ya Afya. Sheria ya Afya ya Jamii ya sasa inazuia uingizwaji wa magonjwa ya mlipuko kwenye Bima za Afya.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:28:16
Rejea za mada hii
bottom of page