top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021 14:11:20

Mtu anaruhusiwa kuchanja mara ngapi?

Mtu anaruhusiwa kuchanja mara ngapi?

Mtu anachomwa mara moja au mbili kwa kuzingatia aina ya chanjo. Mfano J&J na Sputnik Light atachanjwa mara moja wakati Pfizer, Moderna, Sinovac na Sinopharm atachoma mara mbili

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 14:11:20

Rejea za mada hii

bottom of page