top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

10 Oktoba 2021 15:41:37

Mtu anatakiwa kula nini baada ya kuchanjwa?

Mtu anatakiwa kula nini baada ya kuchanjwa?

Ufanisi wa chanjo za COVID-19 hautegemeani na aina ya chakula au kinywaji kabla au baada ya kuchanjwa. Inashauriwa kula mlo wa kiafya, kufanya mazoezi na kunywa maji ya kutosha ili kuwezesha mfumo wa kinga ya mwili wako kufanya kazi vema.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 15:41:37

Rejea za mada hii

bottom of page