top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021 09:19:17
Ni kweli mtu akichoma chanjo ya COVID-19 anaweza kufa ghafla?
Sio Kweli kuwa mtu akichoma chanjo ya COVID-19 anaweza kufa ghafla isipokuwa anaweza kufa kutokana na mtatizo mengine ya kiafya yasiyohusiana na chanjo.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 12:28:21
Rejea za mada hii
bottom of page