top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
10 Oktoba 2021 15:31:03
Je, mtu anakoma lini kuzalisha kinga ya mwili baada ya kuchoma chanjo?
Uzalishaji wa kinga unategemea aina ya chanjo na uwezo wa mwili. Kuna chanjo ambazo zinatoa kinga ya kudumu wakati chanjo nyingine kinga yake inapotea baada ya muda.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021 15:31:03
Rejea za mada hii
bottom of page