top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
12 Oktoba 2021, 05:19:59
Nini unatakiwa kumtaarifu mtaalamu wa afya kabla ya kuchomwa chanjo ya J and J?
Kabla ya kuchoma chanjo ya Janssen unapaswa kumwambia mtaalamu wa afya kama una mambo yafuatayo;
Homa
Mzio wowote
Matatizo ya kutokwa damu
Unatumia dawa za kuyeyusha damu
Unakinga za mwili za chini au unatumia dawa za kushusha kinga ya mwili
Una ujauzito au unapanga kuwa mjamzito
Unanyonyesha
Umepokea chanjo aina nyingine ya COVID-19
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
12 Oktoba 2021, 05:19:59
Rejea za mada hii
bottom of page