Mwandishi:
DKt. Adolf S, M.D
Mhariri:
Dkt. Mangwella S, MD
19 Julai 2023, 19:04:43
PEP ni nini?
PEP ni dawa ya dharura ya kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI ndani ya masaa 36 lakini zi zaidi ya masaa 72 baada ya kukutana na kihatarishi cha maambukizi ya UKIMWI.
PEP kama ikitumika kwa usahihi, huwa na uwezo wa kuzuia maambukizi ya VVU kwa asilimia 81. Yaani kwa kila watu 100, watu 81 hawataambukizwa.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
19 Julai 2023, 19:38:51
Rejea za mada hii
PEP. http://publichealth.lacounty.gov/dhsp/Biomedical/Basics_of_PEP_for_Patient-EN_12.29.2021.pdf. Imechukuliwa 18.07.2023
CDC. PEP. https://www.cdc.gov/hiv/basics/pep.html. Imechukuliwa 18.07.2023
PEP Information. https://www.alfredhealth.org.au/images/resources/patient-resources/PEP-Information.pdf. Imechukuliwa 18.07.2023