top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021, 08:41:36

Sanitizer inaweza kuondoa uchafu?

Je, sanitizer inaweza kuondoa uchafu kwenye mwili?

Kama mtu ana uchafu mwingi unashauriwa kitaalam kunawa au kusafisha kwanza kwa maji tiririka na sabuni kabla ya kutumia sanitizer. Sanitizer haiondoi uchafu unaoonekana bali huondoa vimelea vya magonjwa katika ngozi.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 09:16:17

Rejea za mada hii

bottom of page