top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 07:57:30

Sehemu ya mwili ya kuchoma chanjo ya COVID-19

Chanjo ya Corona inachomwa sehemu gani ya mwili?

Chanjo ya Corona inachomwa kwenye msuli wa bega wenye jina la deltoid.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:28

Rejea za mada hii

bottom of page