Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 12:03:25
Kuna uhusiano gani kati ya unyanyasaji na maambukizi ya magonjwa ya ngono Pamoja na COVID-19?
Mpaka sasa hivi hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya unyanyasaji na maambukizi ya COVID-19. Ingawa hata hivyo, COVID-19 ulivyokuja nchi mara ya kwanza kila mtu alikuwa na taharuki, na ilikuwa hata ukikohoa watu walikuwa wakikukwepa, pengine inawezekana hali hii ilitafsiriwa kama unyanyasaji. Hata hivyo, pengine ili linaweza kuwa ni eneo lenye kufanyiwa utafiti kubaini kama kuna uhusiano kati ya hivi vitu viwili
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:27:47
Rejea za mada hii