top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 12:22:58

Upimaji wa COVID-19 kwenye mikusanyiko

Kwanini wasipimwe watu wengi katika maeneo yenye mikusanyiko ili kupata takwimu sahihi za wagonjwa
kuliko kusubiri wanaokuja hospital wakiwa tayari wamezidiwa?

Si rahisi kupima watu wote katika mikusanyiko yote nchini, kwani zoezi la upimaji linatakiwa kuzingatia misingi ya utu, usiri, maadili na taratibu za kitabibu. Upimaji kama huu unawezekana kupitia tafiti mbapo idadi fulani ya watu na ile ya mikusanyiko huchukuliwa ili kuwakilisha jamii. Tafiti balimbali kama hizi zinaendelea nchini ili kuonyesha hali halisi ya maambukizi nchini.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:45:01

Rejea za mada hii

bottom of page