top of page

Mwandishi:

Dkt. Mangwella S, MD

Mhariri:

Dkt. Peter A, MD

4 Novemba 2021 16:14:57

Vasograin inatibu nini?

Vasograin inatibu nini?

Vasograin ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ergotamine tartrate, caffeine, paracetamol na prochlorperazine maleate. Hutumika kuzuia na kutibu maumivu ya kichwa ya kipanda uso.


Dawa hii huwa katika fomu ya kidonge na hutolewa kwa cheti cha daktari.


Vasograin inatibu nini?


Vasograin hutumika mara nyingi katika matibabu ya maumivu ya kichwa ya kipanda uso pia hutibu maumivu ya kichwa yanayotokana na mishipa ya damu.


Wapi unapata maelezo zaidi kuusu vasograin?


Soma maelezo zaidi kuhusu vasograin , maudhi, madhara na ushauri wa matumizi kwenye makala za dawa.Majibu yaliyojibiwa na makala hii


MAkala hii imejibu kuhusu;


  • Vasograin ni dawa gani?

  • Vasograini inatibu nini?

  • Vasograin imetengenezwa kwa mchanganyiko wa dawa gani?

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

4 Novemba 2021 16:17:36

Rejea za mada hii

  1. Mathew NT, et al. Transformed or evolutive migraine. Headache 1987 Feb;27(2):102-106.

  2. Mahajan A, et al. Prolonged Abuse of Vasograin Tablets. Ind J Priv Psychiatry 2018;12(1):27-28.

  3. Verma A. Transformed migraine: a study of 420 consecutive patients from central India. Ann Neurosci 2007 Apr;14(2):37-40.

  4. Diener HC, et al. Medication-overuse headache: a worldwide problem. Lancet Neurol 2004 Aug;3(8):475-483.

  5. Kristoffersen ES, et al. Medication-overuse headache: a review. J Pain Res 2014 Jun;7:367-378.

bottom of page