top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Sospeter B, MD

21 Novemba 2021 14:56:24

Vidonge vya majira havina kinga endelevu

Je, baada ya kuacha vidonge vya majira yenye vichocheo viwili sitapata ujauzito?

Hapana!

Kama mwanamke amekuwa akimeza Vidonge vyenye vichocheo viwili kwa muda mrefu na akaacha anakuwakwenye hatari ya kupata ujauzito. Vidonge vya majira huacha kufanya kazi ya kuzuia mimba mara baada ya kucha tu kuvitumia.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

21 Novemba 2021 15:19:16

Rejea za mada hii

  1. Girum, et al. “Return of fertility after discontinuation of contraception: a systematic review and meta-analysis.” Contraception and reproductive medicine vol. 3 9. 23 Jul. 2018, doi:10.1186/s40834-018-0064-y

  2. Jacobstein R. Long acting and permanent contraception: an international development, service delivery perspective. J Midwifery Womens Health. 2007;52(4):361–367. doi: 10.1016/j.jmwh.2007.01.001.

  3. Family Health International. Addressing Unmet Need for Family Planning in Africa. 2007. [Accessed 15 Sept 2017]; Available from: http://www.k4health.org/ system/files/ unmetneed for FP_Africa. Pdf. Imechukuliwa 21.11.2021

  4. Kulier R, O’Brien PA, Helmerhorst FM, Usher-Patel M, D’Arcangues C. Copper containing, framed intra-uterine devices for contraception. Cochrane Database Syst Rev. 2007;4:CD005347.

  5. Fotherby K, et al. Return of ovulation and fertility in women using norethisteroneoenanthate. Contraception. 1984;29:447–454. doi: 10.1016/0010-7824(84)90018-0.

bottom of page