top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
Dkt. Sospeter B, MD
9 Oktoba 2021, 12:31:21
Je, ili kupata chanjo ya COVID-19 utatakiwa kufanya kipimo kwanza ndio upewe chanjo?
Hakuna ulazima wa kupima kabla ya chanjo ingawa ni muhimu sana mtu mwenye dalili za ugonjwa wowote asichanjwe mpaka pale atakapopona ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:45:17
Rejea za mada hii
bottom of page