top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021, 15:50:08
Wagonjwa gani hawatakiwi kupewa chanjo?
Wagonjwa wasiopaswa kupata chanjo au tahadhari kubwa inapaswa kuchukuliwa ni wale wenye;
Mzio mkali kwenye chanjo yoyote
Wagonjwa wenye mzio katika moja ya viambata vya chanjo kama vile Polyethylene Glycol (PEG) au Polysorbate)
Wagonjwa wenye kinga ya mwili ya chini au wamedhoofu kutokana na kuumwa sana, kutumia dawa fulani au kuwa na magonjwa sugu ya muda mrefu
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021, 15:57:31
Rejea za mada hii
bottom of page