Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Mhariri:
11 Novemba 2021, 18:14:13
Zaha inatibu nini?
Zaha ni jina la kibiashara la dawa azithromycin, inayotumika kutibu magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na bakteria wanaodhurika na dawa hii.
Vimelea wanaodhuriwa na zaha
Bakteriwa wanaodhuriwa na zaha ni;
Chlamydia trachomatis
Chlamydophila pneumoniae
Haemophilus influenza
Moraxella catarrhalis
Mycoplasma pneumoniae
Neisseria gonorrhoeae
Staphylococcus aureus
Streptococcus agalactiae
Streptococcus pneumoniae
Streptococcus pneumoniae
Streptococcus pyogenes
Kumbuka
Unapaswa kuwasiliana na daktari wako kwa ushauri zaidi na tiba.
Magonjwa yanayotibiwa na zaha
Magonjwa yanayotibiwa na zaha ambayo yanasababishwa na vimelea vyake vimeorodheshwa hapo juu ni;
Maambukizi makali kwenye mapafu
Sinusaitizi kali
Nimonia ya jamii
Maambukizi ya wastani kwenye ngozi
Maambukizi kwenye urethra na shingo ya kizazi
Vidonda sehemu za siri
Maambukizi makali kwenye sikio
Nimonia ya jamii
Pharyngitis/tonsillitis
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
11 Novemba 2021, 18:14:13
Rejea za mada hii
Noedl H, et al. Azithromycin combination therapy with artesunate or quinine for the treatment of uncomplicated Plasmodium falciparum malaria in adults: a randomized, phase 2 clinical trial in Thailand. Clin Infect Dis. 2006 Nov 15;43(10):1264-71. Epub 2006 Oct 12.
Peters DH, et al. Azithromycin. A review of its antimicrobial activity, pharmacokinetic properties and clinical efficacy. Drugs. 1992 Nov;44(5):750-99. doi: 10.2165/00003495-199244050-00007.
McMullan BJ, et al. Prescribing azithromycin. Aust Prescr. 2015 Jun;38(3):87-9. Epub 2015 Jun 1.
Fohner AE, et al. Macrolide antibiotic pathway, pharmacokinetics/pharmacodynamics. Pharmacogenet Genomics. 2017 Apr;27(4):164-167. doi: 10.1097/FPC.0000000000000270.
Champney WS, et al. Inhibition of 50S ribosomal subunit assembly in Haemophilus influenzae cells by azithromycin and erythromycin. Curr Microbiol. 2002 Jun;44(6):418-24.
Champney WS, et al. Macrolide antibiotics inhibit 50S ribosomal subunit assembly in Bacillus subtilis and Staphylococcus aureus. Antimicrob Agents Chemother. 1995 Sep;39(9):2141-4.
Dinos GP: The macrolide antibiotic renaissance. Br J Pharmacol. 2017 Sep;174(18):2967-2983. doi: 10.1111/bph.13936. Epub 2017 Aug 10.