top of page

Maoni ya watumiaji
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania dar es salaam
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio,maana imekuwa ikisaidia kujua magonjwa tofauti tofauti na kukabiliana mayo.
9 Mei 2021, 22:25:19
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, singida
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Naanza kuitumia
13 Machi 2021, 09:33:36
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania,dar es salaam
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndy kwa maana nimesoma dalili za nyama za pua na nimeona inanifaaa
8 Aprili 2021, 21:18:30
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania mbeya
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Nsijawai tumia
2 Machi 2021, 23:19:03
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Apana ndonaingia
8 Aprili 2021, 20:03:59
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania Tabora
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio
28 Februari 2021, 13:41:59
bottom of page
