
Maoni ya watumiaji
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Tabora
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio, napata taarifa zilizofanyiwa tafiti hivi karibuni kupitia makala na vidokezo vya kiafya
31 Januari 2021, 21:46:12
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Arusha
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio imekua msaada kwangu kwa sababu kuna vitu vingi najifunza kupitia tovuti ya uly clinic ikiwemo afya ya mama, vyakula, aina mbalimbali za dawa pamoja na magonjwa yake
27 Januari 2021, 17:23:12
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania Dodoma
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Natumain kuwa itakuwa msaada mkubwa kwangu
30 Januari 2021, 22:03:04
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania,Kigoma
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio,na inasaidia kutuelimisha kuhusu afya
4 Januari 2021, 14:41:01
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania Njombe
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndiyo imekua msaada tosha
27 Januari 2021, 18:16:57
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania,ruvuma
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndy imeniweka kwa msaada zaid wa kijikinga
