top of page

Maoni ya watumiaji
Nchi na mkoa ulipo
Ruvuma
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Inasaidia kujua dawa na mtumizi yake
10 Desemba 2020, 16:44:58
Nchi na mkoa ulipo
Arusha
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
ndio, kwa sababu inaonesha na kueleza magonjwa na tiba
2 Desemba 2020, 08:49:54
Nchi na mkoa ulipo
arusha
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio.huwa nasoma nakujitibu nyumbani
2 Desemba 2020, 08:18:15
bottom of page
