top of page

Maoni ya watumiaji
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania dar es salaam
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio imekuwa msaada imenitia Moyo nakuniondolea mashala nakunipa matumaini nashukuruni sana
16 Julai 2025, 11:15:10
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania-Mbeya
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio
10 Julai 2025, 15:14:38
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania iringa
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Napata maumivu nikikokoa pia wakati wa tendo la ndoa
14 Julai 2025, 20:49:23
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania mwanza
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio kwa sababu imenijenga kisaikolojia
20 Juni 2025, 05:46:17
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania mbeya
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio inatoa Huduma nzuri na nimepanda kwani kila napouliza maswali au swali najibiwa vizuri sana na kwa wakati
14 Julai 2025, 18:42:11
Nchi na mkoa ulipo
Kagera
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndiooo
19 Juni 2025, 06:27:21
bottom of page
