top of page
Mobile Customer

Maoni ya watumiaji

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania manyara

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Ndy nimepata ushauri

5 Juni 2025, 13:33:48

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania, Dar es salaam

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Ndio, imenisaidia kuelewa baadhi ya maswali niliyokuwa najiuliza, pia nimepata kutatua changamoto ambazo nilihitaji kuzitatua kiafya.

31 Mei 2025, 13:19:13

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania mbeya

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Bado ndo natazamia hivi sasa

5 Juni 2025, 09:25:42

Nchi na mkoa ulipo

Dar

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Ndio ULY CLINIC imekua msaada mkubwa kwangu nimejua napaswa kufanyanini baada ya hapa pia hofu iliyofanya niugue zaidi nayo imetoeka nnaaman

30 Mei 2025, 15:34:02

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania ,mara

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Ndiyo imekuwa na msaada mkubwa sana kwa sababu ni mara yangu ya kwanza kutoa mimba kwa kusoma maelezo nimeweza kuelewa na wasiwasi umepungua kwa sababu wanatoa maelezo yanayo eleweka bila kona kona.

1 Juni 2025, 12:24:22

Nchi na mkoa ulipo

Ruvuma

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Ndio kunifanya nijue dalili na kujikinga au kupata matibabu

22 Mei 2025, 11:30:20

bottom of page