
Maoni ya watumiaji
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania,Kagera
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio,imekua msaada kwangu maana kila mara imeniwezesha mimi kuelewa na kupata majibu ya matatizo niliyonayo na kuweza kuyatatua pia
19 Mei 2025, 21:27:50
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndy inasaidia kujua Maendereo ya afya yako
18 Aprili 2025, 06:52:37
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania-dar es salaam
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio imekuwa msaada kwangu kwa kunipa maelekezo na ushauri juu ya tatizo linalonisumbua
18 Mei 2025, 12:34:26
Nchi na mkoa ulipo
Arusha
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio, Tena Kwa kiasi kikubwa sana. Kwanza imenipa Elimu namna ya kuhesabu siku zangu skuwa najua tangu nmepevuka/kuvunja ungo. Lakini pia nmejifunza siku sahihi zakubeba ujauzito na naamini Kwa usahihi nliopewa kwamjibu wa mzunguko wangu nitabeba mimba Inshallah.π
17 Aprili 2025, 21:20:49
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Kagera
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndiyo kwani nimepata taarifa nyingi za kiafya ambazo sikuwa na ufahamu nazo
18 Mei 2025, 11:22:23
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania-dar-es-salaam
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Kwangu imekuwa na mchango mkubwa Kwa kuweza kunipa ushauri wa kitaaluma zaidi na kujua mengi zaidi
