top of page
Mobile Customer

Maoni ya watumiaji

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania kahama

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Ndio elim ya uly clinic imekuwa msaada kwangu

6 Aprili 2025, 16:33:43

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania pemba

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Ndio maana napata kuulza na kupata majibu katka muda sahihi wa tatzo

3 Aprili 2025, 09:10:25

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania, mwanza

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Imekuwa msaada mkubwa sana kwangu, kwasababu nlikuwa nasoma pages zingine ndo nazidi kuchanganyikiwa kabisa lakini ninyi mmenipa ufafanuzi mzuri sana Tena wa Bure(bila malipo yoyote), mana nlivochukua No za WhatsApp nlijua mtaniambia nilipie kwanza ndo nipewe huduma lakini mmeniellekeza na sjatoa hata sh.1 yangu(MUNGU awabariki sana), nitafanyia kazi maelekezo haya mliyonipa na naamini Kwa uwezo wake Mungu nitabeba ujauzito mwezi huu🙏🙏

6 Aprili 2025, 13:50:07

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania Dar es salam

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Sana tena inanipa majibu ya maswali yangu kwa haraka na nalizika nayo

2 Aprili 2025, 23:58:05

Nchi na mkoa ulipo

Mwanza

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Ndiyo maana nmepata elimu zaidi za kiafya

4 Aprili 2025, 09:53:26

Nchi na mkoa ulipo

Tanzania,Dar es salaam

Tovuti hii imekuwa msaada kwako?

Imenipa elimu nzuri kuhusu tatizo la mwanangu.1

8 Machi 2025, 02:19:17

bottom of page