top of page

Matibabu

Kufunga uzazi -Mwanamke

Kufunga uzazi kwa mwanamke hufahamika kwa jina jingine la kufunga mirija ya uzazi au kufunga kizazi, ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango inayochaguliwa na wanawake wasio na uhitaji tena wa kupata watoto.

Kufunga uzazi- Mwanaume

Kufunga uzazi kwa mwanaume hufahamika kwa jina jingine la vasektomi, ni mojawapo ya njia ya uzazi wa mpango wa kudumu kwa mwanaume.

Kufungua uzazi

Kufungua mirija ya uzazi iliyofungwa kwa jina jingine hufahamika kama kufunga uzazi, ni kitendo cha kurejesha anatomia ya mirija ya uzazi karibia na hali yake ya awali baada ya kukatwa ili kuzuia kutopata mimba.

bottom of page