top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

28 Mei 2020 12:09:34

Namna ya kufanya Mazoezi hatua kwa hatua- sehemu ya 5
Namna ya kufanya Mazoezi hatua kwa hatua- sehemu ya 5
Namna ya kufanya Mazoezi hatua kwa hatua- sehemu ya 5
Namna ya kufanya Mazoezi hatua kwa hatua- sehemu ya 5

Namna ya kufanya Mazoezi hatua kwa hatua- sehemu ya 5

Mazoezi haya yafanye kwa muda wa dakika 3 huku ukihesabu namba 1,2,3 kabla ya kuhama pozi moja kwenda jingine. Unapotaka kubadili pozi moja kwenda jingine hakikisha unapumua kwa kina kisha kuendelea kupumua kawaida.


Zoezi la kutembea kwa mjamzito


Zoezi katika picha namba nne ni zoezi la kutembea, lifanye lenyewe au kama sehemu ya mazoezi mengine. Tembea umbali ambao unaweza na ongeza taratibu kwa jinsi siku zinavyoenda


Unaruhusiwa kuongeza mazoezi zaidi?


Baada ya kuweza kufanya mazoezi haya na endapo bado unaweza kuongea wakati wa zoezi bila kupata shida, au bado una nguvu unaweza kufanya mazoezi yanayofuata katika sehemu ya tano

Muulize daktari wako siku zote endapo mazoezi haya yatakufaa kulingana na hali ya afya yako.

ULY clinic inakukaribisha kwa ushauri na Tiba. Wasiliana nasi kupitia namba za simu au bonyeza kitufe cha ‘Pata Tiba’ chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

1 Oktoba 2021

  1. American Pregnancy Association. Sleeping positions during pregnancy. Imechukuliwa 28.04.2020

  2. National Sleep Foundation. The best position for sleep during pregnancy.Imechukuliwa 28.04.2020

  3. National Posture Institute. Incorporating NPI’s 4 points of posture during pregnancy and postpartum. Imechukuliwa 28.04.2020

  4. https://www.pregnancyexercise.co.nz/products/fit2birthmum/. Imechukuliwa mara ya mwisho 3.06.2020

  5. Malposition and malpresentantio. https://www.gfmer.ch/Obstetrics_simplified/malpresentations_and_malposition.htm. Imechukuliwa 04.06.2020

  6. Ocipitalposterior.https://www.uptodate.com/contents/occiput-posterior-position. Imechukuliwa 04.06.2020

  7. Pushing the baby out.https://www.whattoexpect.com/pregnancy/labor-and-delivery/childbirth-stages/pushing-and-delivery.aspx. Imechukuliwa 06.06.2020

  8. NCBI. When and where to puch. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC1804305/. Imechukuliwa 06.06.2020

  9. Pushing during labor more isint better. https://www.parents.com/pregnancy/giving-birth/labor-and-delivery/pushing-during-labor-more-isnt-better/. Imechukuliwa 06.06.2020

bottom of page