top of page
Mellow_Yellow_Top_Table-498.jpg

Tiba ya kuongeza uzito

Sharubati na rojorojo zenye kalori nyingi na virutubisho huupa mwili nishati ya kutosha na kusababisha kuongezeka kwa uzito huku mtu akiwa anapata vijenzi vya kiafya.

Mwandishi:

Dkt. Lameck P, AN

Mhariri:

Dkt. Benjamin M, MD

25 Desemba 2021 12:01:45

01

Kifungua kinywa

Asubuhi


Rojorojo Makini Tamu


Viambato:


 • Ndizi

 • Stroberi

 • Maziwa ya nazi

 • Kimea cha ngano

 • Asali

 • Maziwa ya shairi


Faida


 • Kila milimita 250 inayo nywea hutua nishati yenye kalori 224

 • Huupa mwili sukari ya asili na vitamiani zinazoimarisha mfumo wa neva dhidi ya wasiwasi


Katikati ya asubuhi


Sharubati ya nguvu mpya


Vimbato:


 • Mtindi wa soya

 • Stroberi

 • Sharubati ya nanasi

 • Almond


Faida


 • Kila milimita 250 inayonywea hutoa nishati yenye kalori 178

 • Mchanganyiko huwa na uwiano mzuri wa protini, vitamin, na madini yenye nishati ya kutosha

 • Hukabiliana na upungifu wa uzito sababu ya msongo

 • Hufaa kwa wanaofanya mafunzo mazito ya riadha

 • Hufaa kwa Mgonjwa anayepona au alieyedhoofika

02

Project Name

This is your Project description. Provide a brief summary to help visitors understand the context and background of your work. Click on "Edit Text" or double click on the text box to start.

03

Project Name

This is your Project description. Provide a brief summary to help visitors understand the context and background of your work. Click on "Edit Text" or double click on the text box to start.

04

Mlo wa jioni

Viambato:


 • Maziwa ya mchele

 • Ndizi

 • Embe

 • Kimea cha ngano

 • Unga wa mdalasini


Faida zake


 • Kila milimita 250 inayonywewa hutoa nishati yenye kalori 177

 • Huthibiti uwezo wa kutanuka kwa mishipa ya ateri inapoongezewa nguvu

Maelezo ya ziada kuhusu chakula cha kuongeza uzito


Tofauti na inavyotokea kwa watu walio wengi ,baadhi ya watu hhupungua uzito licha ya kula chakula cha kutosha. Kwa baadhi ya watu, kisababishi cha kupunguza uzito huwa hakijulikani, na waliobaki visababishi huwa kama vile magonjwa ya mmeng´enyo wa chakula na mengine.


Kumbuka:


Ukipungua uzito bila sababu ya msingi, unapaswa kuwasiliana na daktari kwa uchunguzi kwani inaweza kuwa ishara ya ugonjwa unaopaswa kupata tiba ya haraka.Njia zingine za kuongeza uzito

Waweza kuongeza uzito kwa njia nyingine kama vile;


 • Kula wanga wa kutosha

 • Kupunguza ulaji wa mboga za majani kama ndizo hubeba sehemu kubwa mlo wako

 • Zingatia ratiba ya kula

 • Ondoa hofu iliyopitiliza

 • Zuia miingiliano wakati wa kula

Imeboreshwa;

27 Desemba 2021 08:07:04

Rejea za mada hii:

 1. Freire RH, et al. Wheat gluten intake increases weight gain and adiposity associated with reduced thermogenesis and energy expenditure in an animal model of obesity. Int J Obes (Lond). 2016 Mar;40(3):479-86. doi: 10.1038/ijo.2015.204. Epub 2015 Oct 7. PMID: 26443339.

 2. Sawada K, et al. Relationship between rice consumption and body weight gain in Japanese workers: white versus brown rice/multigrain rice. Appl Physiol Nutr Metab. 2019 May;44(5):528-532. doi: 10.1139/apnm-2018-0262. Epub 2018 Oct 12. PMID: 30312545.

 3. Aller, et al. “Starches, sugars and obesity.” Nutrients vol. 3,3 (2011): 341-69. doi:10.3390/nu3030341.

 4. Shamsi-Goushki, et al. “Effects of High White and Brown Sugar Consumption on Serum Level of Brain-Derived Neurotrophic Factor, Insulin Resistance, and Body Weight in Albino Rats.” Journal of obesity & metabolic syndrome vol. 29,4 (2020): 320-324. doi:10.7570/jomes20037

bottom of page