Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Charles W, MD
10 Juni 2020, 14:42:53
Visababishi vya shinikizo la juu la damu
Nini husababisha shinikizo la damu la juu?
Haipatensheni ya sekondari husababishwa na magonjwa malimbali yafuatayo;
Magonjwa ya figo
Ugonjwa wa wa figo wa polisistiki
Magonjwa sugu ya ya figo
Kuziba kwa njia ya mkojo kwa mda mrefu kama
Au saratani inayozalisha homoni ya renini
Magonjwa ya mishipa ya damu
Magonjwa ya Aota ama koaktesheni ya aota
Anurizimu ya aota
Ugonjwa wa reno stenosisi
Matatizo/mabadiliko ya kwenye vichochezi vya mwili kama vile
Ugonjwa unaoitwa sindromu ya kushing husababisha uzalishaji mwingi au matumizi ya dawa kundi la glucocorticoid kwa muda mrefu
Kuzalishwa kwa wingi kwa vichocheo mwili aina ya aldosterone
Matatizo ya mfumo wa fahamu kama vile
Saratani ya ubongo
Shinikizo la damu la kwenye ubongo
Dawa na sumu ambazo ni
Pombe
Kokaine
Baadhi ya Dawa za saratani
Dawa aina ya asprini
Nikotini
Baadhi ya dawa za kienyeji
Homoni ya adrenalini
Sababu nyinginezo
Ujauzito
Kuzidi kwa madini ya kalisium mwilini
Kiwango cha juu au chini cha vichochezi mwili vya tezi ya thairoid au
Kiwango cha juu au chini cha vichochezi mwili vya tezi ya parathairoidi
Ugonjwa wa slipu apnia
Mtoto kuzaliwa na tezi kubwa ya adreno
Saratani ya tezi ya adreno fiokromosaitoma
Imeboreshwa,
6 Oktoba 2021, 10:44:01
ULY Clinic inakushauri siku zote usichukue hatua yoyote ile inayoathiri afya yako bila kuwasiliana na daktari wako.
Wasiliana na daktari wa ULY CLinic kwa kubonyeza 'Pata Tiba' au kutumia namba za simu chini ya tovuti hii kwa elimu suhauri na Tiba
Rejea za mada hii,
​
-
Beckett NS, Peters R, Fletcher AE, et al; HYVET Study Group. Treatment of hypertension in patients 80 years of age or older. N Engl J Med. 2008;358(18):1887-1898.PubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020
-
SHEP Cooperative Research Group. Prevention of stroke by antihypertensive drug treatment in older persons with isolated systolic hypertension: final results of the Systolic Hypertension in the Elderly Program (SHEP). JAMA. 1991;265(24):3255-3264. ArticlePubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020
-
Institute of Medicine. Clinical Practice Guidelines We Can Trust. Washington, DC: National Academies Press; 2011. http://www.iom.edu/Reports/2011/Clinical-Practice-Guidelines-We-Can-Trust.aspx. Imechukuliwa 09.06.2020
-
Staessen JA, Fagard R, Thijs L, et al; The Systolic Hypertension in Europe (Syst-Eur) Trial Investigators. Randomised double-blind comparison of placebo and active treatment for older patients with isolated systolic hypertension. Lancet. 1997;350(9080):757-764.PubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020
-
Hsu CC, Sandford BA. The Delphi technique: making sense of consensus. Pract Assess Res Eval. 2007;12(10). http://pareonline.net/pdf/v12n10.pdf. Accessed October 28, 2013.Google Scholar. Imechukuliwa 09.06.2020
-
Institute of Medicine. Finding What Works in Health Care: Standards for Systematic Reviews. Washington, DC: National Academies Press; 2011. http://www.iom.edu/Reports/2011/Finding-What-Works-in-Health-Care-Standards-for-systematic-Reviews.aspx. Imechukuliwa 09.06.2020
-
https://www.uptodate.com/contents/high-blood-pressure-in-adults-beyond-the-basics?topicRef=4415&source=see_link. Imechukuliwa 10.06.2020
-
https://www.uptodate.com/contents/high-blood-pressure-diet-and-weight-beyond-the-basics.Imechukuliwa 10.06.2020
-
Hypertension. https://jamanetwork.com/journals/jama/fullarticle/1791497. Imechukuliwa 11.06.2020
-
Dash Diet- 365 Days of Low Salt, Dash Diet Recipes For Lower Cholesterol, Lower Blood Pressure and Fat Loss Without Medication ( PDFDrive.com )