top of page
Imeandikwa na daktari wa ULY-Clinic
Maana ya Surua
Surua ni ugonjwa wa utotoni unaosababishwa na virusi, zamani ulitokea sana na kwa sababu ya kupatikana na kwanjo ugonjwa huu hautokea kwa kasi kubwa karne hii. Ingawa baadhi ya watu ambao hawakupata ugonjwa huu wanaweza kupata wakiwa wakubwa pia.
Ukipata surua mara moja ama ukipata chanjo ya surua basi unapata kinga ya maisha dhidi ya surua. Ugonjwa huu wakati mwingine unaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto wadogo na kifo. Ugonjwa huu huua watoto 100,000 kila mwaka walio chini ya umri wa miaka 5 hata hivyo namba ya vifo imeoungua ukilinganisha na rekodi za nyuma
Endelea kusoma kuhusu, Maana, Dalili, Uenezaji, Matibabu
Muulize daktari wako endapo una dalili hii kwa ushauri, uchunguzi na tiba
Imeboreshwa mara ya mwisho 11.03.2020

bottom of page