top of page
Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC
Ganzi
Mtu anapopata ganzi inamaanisha amepoteza hisia kwenye maeneo Fulani ya mwili, hili ni tatizo ambalo linaweza kuambatana na dalili zingine kama kuhisi kuchomwa na sindano au kuwaka moto kwenye maeneo yenye ganzi.
Hata hivyo tatizo la ganzi mara nyingi husababishwa na magonjwa au shida Fulani kwenye mishipa ya fahamu(neva), iwe ni mshipa mmoja tu ulio na tatizo au mishipa mbalimbali.
Tatizo la ganzi linaweza kutokea upande mmoja wa mwili au pande zote kutokana na sehemu ya mishipa ya fahamu iliyoathirika.
Endelea kusoma kuhusu visababishi vya ganzi kwa kubonyeza hapa
Imeboreshwa 16.02.2020
bottom of page