top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Maumivu ya koo pekee ni dalili ya vvu?

​

Nitumie dawa gani misoprostol ikishindwa kazi?

​

Nataka misoprostol ya kutoa mimba ipi au vidonge vingapi vinanguvu?

​

Mtu aliyewahi kuugua kifua kikuu, akamaliza dozi yote ya dawa na kupona, lakini bado anaendelea kukohoa mara kwa mara bila kikohozi cha mfululizo. Hali hii inaweza kusababishwa na nini?

​

Mimi ni mwanamke nina changamoto sijajua tatizo nini nikiwa nakojoa haja ndogo sehemu ya haja kubwa hua Kuna majimaji yanatoka au wakati mwingine nikiwa nimetulia tu kuna muda unasikia kama majimaji hivi shida itakua nini?

​

bottom of page