top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Maumivu ya kichwa yanaweza kuwa ni dalili mojawapo ya mimba changa?

​

Ukiwa na mimba changa ni lazima utapike?au kichefu chefu tu? na kichefu chefu huwa sana sana kinatokea muda gani?

​

Dalili ya kipekee ya mimba changa isiyofanana na dalili za uingia hedhi ni ipi?

​

Gono inaweza kutumia muda gani kupona endapo umetumia dawa kwa usahihi?

​

Nimetumia cefixime capsule kama dawa ya gono lakini bado natokwa na usaha, nifanye nini?

​

bottom of page