Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Nimetumia misoprostol saivi inafika wiki 4 na dalili zote za kutoka mimba zimekuja ila saivi napata tabu kupata usingizi maumivu ya uti wa mgongo yananisumbua
Nina maumivu makali upande wa kulia chini ya mbavu na mimi ni mjamzito WA wiki 37 na siku 4. Hayo maumivu yanapotokea nikijaribu kupasugua kwa kiganja taratibu panaacha kwa mda hii imekaaje?
Nina maumivu makali upande wa kulia chini ya mbavu na mimi ni mjamzito WA wiki 37 na siku 4 .Hayo maumivu nayapata Kwa muda tofauti wakati wa kulala au nikikaa na panswaka moto sana.