Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Baada ya kutumia misoprostol na damu kutoka kwa siku 7 ya madonge madonge na maumivu ya tumbo yalikaa siku, ikatoka tena damu ya madonge madonge na mpaka sasa inaendelea na Leo ni siku ya 12 je hakuna tatizo?
Nilitumia misoprostol kama dawa ya kutoa mimba damu Ili toka siku Moja na maumivu makali ya tumbo na bonge moja kisha maumivu yamekata damu unatoka matone tu kwa siku Leo n siku ya tatu, nifanye nini?