Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Nimetumia dawa za kutoa mimba ya mwezi nilipaata bonge moja na damu ya kawaida siku hiyo nikakaa siku mbili bila kutoka damu Tena siku ya tatu ikaanza kutoka hedhi ya kawaida nyeusi nzito isiyo na mabonge wala maumivu makali je ni sawa?