top of page

Mwandishi:

Dkt. Benjamin L, MD,

Mhariri:

Dkt. James NL, MD

Imeboreshwa:

26 Septemba 2026, 09:00:42

Je naweza kujua ULY CLINIC Pemba munapayikana wapi na hizo dawa zipo

Kwa sasa ULY CLINIC inatoa huduma za matibabu mtandaoni, hivyo kama upo mbali na Arusha unaweza kupata huduma bila kufika kliniki.


Utaratibu wa kupata huduma ni kujaza kwanza historia ya tatizo, kukubaliana na sera ya matibabu mtandaoni, kisha kufuata hatua za huduma na malipo. Daktari hupitia taarifa zako na kuuliza maswali ya ziada inapohitajika kabla ya kutoa ushauri wa matibabu au dawa. Unaweza kuanza kupitia hapa:👉 Utaratibu wa huduma zetui


Kwa hiyo, ikiwa upo Pemba, unaweza kuanza kwa huduma ya mtandaoni kupitia mfumo huo.


Wasiliana na daktari hapa 👉 wasiliana nasi

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeandikwa,

3 Septemba 2026, 10:00:43

​

bottom of page