top of page

Tathmini ya uzoefu na ufanisi wa Jukwaa la Afya la Kidijitali la ULY CLINIC linalototumia Akili Unde

Mada ya Utafiti: Uundaji, Utekelezaji, na Tathmini ya Athari ya Jukwaa la Afya ya Kidijitali linalotumia Akili Unde (AI) kwa Kiswahili ili kuongeza uelewa wa Afya miongoni mwa Wagonjwa na Wahudumu wa Afya wa ngazi ya kati nchini Tanzania

Namba ya Idhini ya IRB: KUIRB-2026-0025-01

Ridhaa ya Kushiriki (Muhtasari)

Tafadhali soma kwa ufupi kabla ya kuendelea:

  • Nimesoma Hati ya Maelezo ya Ushiriki wa Utafiti na ninaelewa kikamilifu maudhui yake.

  • Nashiriki katika utafiti huu kwa hiari kwa madhumuni ya utafiti.

  • Ninaelewa kuwa ninaweza kukataa kushiriki au kujiondoa katika utafiti huu wakati wowote nitakapochagua, bila kupata madhara hasi yoyote.

  • Ninafahamu taarifa za mawasiliano za mtu anayehusika endapo nitakuwa na maswali kuhusu masuala ya kimaadili ya utafiti huu au haki za mshiriki wa utafiti.


Kwa maelezo kamili ya ridhaa ya kushiriki na uchakataji wa taarifa binafsi, tafadhali soma kwa kubofya hapa


Tafadhali jaza fomu hii kwa kubofya boksi au duara lililo karibu na jibu sahihi kulingana na maelekezo ya swali.

bottom of page