top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

Dkt. Sospeter B, MD

7 Novemba 2026, 08:04:37

Matibabu ya U.T.I Sugu: Mwongozo Kamili

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Kipimo cha kuotesha (culture) kabla ya dawa, maliza dawa, kunywa maji zaidi, kojoa baada ya ngono, cranberry inaweza kusaidia; waliokoma hedhi – estrojeni ya ukeni. Wanaume/homa/damu – ultrasound. Soma UTI.


Maelezo


Visababishi


  • Bakteria sugu.

  • Ngono, spermicide.

  • Komahedhi.

  • Kibofu kutotoa mkojo wote, mawe.

  • Kisukari.

  • Wanaume – tezi dume; soma UTI na nguvu za kiume.

  • Si UTI – zinaa, uke, kichocho.


Uchunguzi


  • Kipimo cha kuotesha (culture) kabla ya dawa.

  • Ultrasound kwa wanaume/homa/damu.

  • Sukari, zinaa.


Kinga (ushahidi)


  • Maji zaidi.

  • Kukojoa baada ya ngono.

  • Cranberry – kwa kiasi.

  • Estrojeni ya ukeni (komahedhi).

  • Antibiotiki za kuzuia – daktari.


Nini cha kufanya



Dalili za hatari


Hospitali haraka ukiwa na:


  • Homa, kutetemeka.

  • Maumivu ya kiuno/ubavu.

  • Kutapika.

  • Mjamzito mwenye dalili.


Lini umwone daktari


  • UTI 2+ ndani ya miezi 6.

  • Damu kwenye mkojo.

  • Mwanaume mwenye UTI.

  • Dawa hazifanyi kazi.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. UTI sugu ni nini?

Mara 2 ndani ya miezi 6 au 3 ndani ya mwaka.

2. Kwa nini inarudi?

Bakteria sugu, ngono, kisukari, au si UTI.

3. Kipimo cha kuotesha (culture) ni lazima?

Ndiyo kwa UTI ya kujirudia.

4. Cranberry husaidia?

Kwa wanawake kwa kiasi (Cochrane 2023).

5. Maji kiasi gani?

Zaidi ya kawaida, hasa ukinywa kidogo.

6. Mwenza atibiwe?

Kama ni zinaa – ndiyo.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:07:10

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Bonkat G, et al. EAU guidelines on urological infections. Arnhem: European Association of Urology; 2024.

  2. Anger J, et al. Recurrent uncomplicated urinary tract infections in women: AUA/CUA/SUFU guideline. J Urol. 2019;202(2):282–9 (amended 2022).

  3. Williams G, et al. Cranberries for preventing urinary tract infections. Cochrane Database Syst Rev. 2023;11:CD001321.

  4. Hooton TM, et al. Effect of increased daily water intake in premenopausal women with recurrent urinary tract infections: a randomized clinical trial. JAMA Intern Med. 2018;178(11):1509–15.

  5. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page