top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dr.Sospeter Mangwella, MD

ULY CLINIC

31 Oktoba 2026, 15:23:37

Siku ya kushika mimba Mzunguko wa siku 32

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Mzunguko wa siku 32 – siku za hatari ni karibu siku ya 13 hadi 18. Hesabu kuanzia siku ya KWANZA ya hedhi. Soma Siku ya kupata mimba – ovulesheni.














Maelezo


Mfano wa hesabu


  • Hedhi ilianza tarehe 1.

  • Uovuleshaji – karibu tarehe 18.

  • Siku za hatari – tarehe 13 hadi 18.

  • Hedhi inayofuata – karibu tarehe 2 ya mwezi unaofuata.


Dalili za uovuleshaji


  • Ute mwingi, mwepesi, unaovutika kama ute wa yai.

  • Maumivu kidogo upande mmoja wa tumbo chini.

  • Vipimo vya LH vya mkojo huonyesha chanya siku 1 hadi 2 kabla.


Nini cha kufanya



Dalili za hatari


  • Hedhi imechelewa na maumivu makali upande mmoja – hospitali mara moja.


Lini umwone daktari


  • Mwaka 1 bila mimba (miezi 6 kama una miaka 35+).

  • Mzunguko unabadilika zaidi ya siku 7 mwezi hadi mwezi.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Mzunguko wa siku 32 uovuleshaji ni siku gani?

Karibu siku ya 18.

2. Siku za hatari ni zipi?

Karibu siku ya 13 hadi 18.

3. Naweza kushika mimba siku ya 10?

Uwezekano ni mdogo lakini upo kama uovuleshaji umewahi.

4. Mzunguko wa siku 32 ni wa kawaida?

Ndiyo, siku 24 hadi 38 ni kawaida.

5. Nihesabu kuanzia lini?

Siku ya kwanza ya hedhi.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 17:08:31

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Wilcox AJ, Dunson D, Baird DD. The timing of the 'fertile window' in the menstrual cycle. BMJ. 2000;321(7271):1259–62.

  2. Fraser IS, et al. FIGO recommendations on terminologies and definitions for normal and abnormal uterine bleeding. Semin Reprod Med. 2011;29(5):383–90.

bottom of page