Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Siku za kushika mimba- Mzunguko wa siku 28
ULY CLINIC
31 Oktoba 2026, 15:23:37
Siku za kushika mimba- Mzunguko wa siku 28
Jibu kwa ufupi
Jibu kwa ufupi: Siku ya 9 hadi 14. Soma Siku za kupata mimba mzunguko wa siku 28.
Maelezo
Mfano
Hedhi ilianza tarehe 1.
Siku za hatari – tarehe 9 hadi 14.
Uovuleshaji – karibu tarehe 14.
Hedhi inayofuata – karibu tarehe 29.
Mizunguko mingine
Uovuleshaji ≈ urefu wa mzunguko − 14 – soma Namna ya kufahamu urefu wa mzunguko.
Mzunguko wa siku 30 – soma Mzunguko wa siku 30.
Nini cha kufanya
Andika tarehe za hedhi.
Unayetafuta mimba – tendo kila siku 1 hadi 2 siku za hatari; folic acid.
Unayezuia mimba – tumia njia ya uzazi wa mpango.
Dalili za hatari
Hedhi imechelewa na maumivu makali upande mmoja – hospitali mara moja.
Lini umwone daktari
Mwaka 1 bila mimba.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
1. Mzunguko wa siku 28 siku za hatari ni zipi?
Karibu siku ya 9 hadi 14.
2. Uovuleshaji ni lini?
Karibu siku ya 14.
3. Naweza kushika mimba siku ya 20?
Uwezekano ni mdogo sana.
4. Nihesabu kuanzia lini?
Siku ya kwanza ya hedhi.
5. Kalenda ni kinga ya uhakika?
Hapana.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 17:08:28
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
Rejea za mada hii:
Wilcox AJ, Dunson D, Baird DD. The timing of the 'fertile window' in the menstrual cycle. BMJ. 2000;321(7271):1259–62.

